Skip to main content
x

News & Updates

 • 2 years ago
  Mamia ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam hii leo Jumatano Agosti 14, wamejitokeza kwa wingi ili kuungana na Benki ya Exim Tanzania ambayo kwa kusirikiana na Mpango wa Taifa wa Damu Salam (NBTS) waliendesha zoezi la uchangiaji damu kwaajili ya kusaidia majeruhi wa ajali ya moto iliyosababishwa na lori la mafuta lililopinduka na kulipuka eneo la Msamvu Mkoani Morogoro ambapo watu zaidi ya 70… [Read more]
 • 2 years ago
  Mwanza; Juni 16, 2019: Wakati Tanzania ikiungana na mataifa mengine Ulimwenguni katika kuadhimisha Siku ya Wachangiaji Damu Duniani, Benki ya Exim Tanzania imekabidhiwa tuzo maalum kutoka serikalini ikiwa ni utambuzi wa mchango wa benki hiyo katika kufanikisha suala hilo zima la upatikanaji wa damu salama hapa nchini. Benki hiyo imekabidhiwa tuzo, hiyo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii,… [Read more]
 • 2 years ago
  Kilimanjaro; Benki ya Exim Tanzania pamoja na Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS) wameingia kwenye makubaliano rasmi ya utekelezaji wa pamoja wa mpango wa uchangiaji wa damu utakaohuisha matawi yote ya benki hiyo hapa nchini. Hatua hiyo ni sehemu ya mkakati wa benki hiyo ya uwajibikaji kwa jamii unaofahamika kama " Exim Cares" Ushirikiano huo umezinduliwa rasmi leo katika tukio la uchangiaji… [Read more]
 • 2 years ago
  Exim Bank's Acting Head of Credit, Issa Hamis (Left) together with the bank's Head of Corporate and Institutional Shrikant Ganduri (Centre) shares a light moment with the bank's customers and invited guests during an iftar hosted by the bank for its customers in Dar es Salaam over the weekend Exim Bank's Head of Corporate and Institutional Shrinkant Ganduri addresses invited guest during an… [Read more]