Benki ya Exim Yapewa Tuzo kwa Uchangiaji wa Damu Nchini
Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Exim Tanzania kutoka mako makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam wakiongozwa na Mkuu wa Hazina na Masoko ya Fedha wa Benki hiyo, Bw. Arafat Haji (katikati) wakichangia damu, pia baadhi ya wateja wa benki hiyo walijitokeza kwa wingi kwaajili ya kujitolea damu katika Maadhimisho hayo.